BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja , Iran yasema iko tayari kukabiliana na vikwazo vya Marekani, yajaribu kudhibiti kupanda kwa bei
Iran imesema iko tayari kukabiliana na zuio la Marekani la kijeshi baharini, ikidai kuwa usafirishaji wa bidhaa kupitia mipaka mingine umeongezeka. Hata hivyo, nchi hiyo inakabiliwa na mfumuko mkubwa wa bei huku gharama za vyakula zikiongezeka.
Kwa nini mawasiliano ya binadamu yanapungua kila mwaka?
Utafiti mpya unaonyesha kwamba katika jamii za Magharibi, ambapo watu wanapendelea upweke, watu sasa hawazungumzi sana kuliko hapo awali.
Maamuzi manne ya kisheria yaliyotikisa soka duniani
Maamuzi manne ya kisheria yaliyotikisa soka duniani
Kumbukumbu za Papa Francis: Kukutana mara tatu na shetani na mtazamo wa milango ya kuzimu
Katika sehemu ya kumbukumbu zake, Papa Francis anaandika kuhusu matukio matatu anayoelezea kama kukutana na shetani.
"Mara tu ninapofungua macho yangu, naweza kujua ni nani aliyepagawa na pepo au kurogwa." - Mansur Ismail
Desturi hii imekuwepo kwa muda mrefu nchini Nigeria na nchi zingine za Kiislamu, ambapo watu wengi wanaamini kwamba mapepo yanaweza kuingia ndani ya mtu na kumdhuru.
Kwa nini msichana huyu wa miaka sita anafanana na bibi wa miaka 80?
Kutokana na ugonjwa alionao Aiza, ngozi yake imelegea na kukunjamana kiasi kwamba watu wengi humfananisha na mtu mwenye umri wa miaka 70 au 80.
Ubingwa umerudi senegal, lakini bomu jingine lalipuka! Morrocco watilia shaka uamuzi wa CAS!
Kwa mujibu wa taarifa za Shirikisho la Soka la Kifalme la Morocco (FRMF), Morocco iliiarifu CAS kuhusu kile ilichokitaja kama tukio linalohitaji kuchunguzwa wakati kesi ya Senegal ikiwa bado inasubiri uamuzi.
AFCON 2025: Ubingwa warejea Senegal
Fainali ya AFCON 2025 kati ya Morocco na Senegal sasa imefikia hitimisho lake rasmi baada ya CAS kutoa uamuzi wa mwisho kuhusu mzozo wa ubingwa huo uliodumu kwa miezi kadhaa.
Tanzania inataka Katiba mpya au marekebisho?
Tanzania inataka Katiba mpya au marekebisho?
Viongozi wa Afrika waliobadili katiba ili kubaki madarakani
Viongozi waliobadili katiba ili kujiongezea muda wa utawala Afrika
Nchi 10 zitakazokuwa na idadi kubwa zaidi ya Waislamu duniani mwaka 2050
Wataalamu wanakadiria kwamba jamii inahitaji wastani wa watoto wawili kwa kila mwanamke ili kudumisha idadi yake ya watu.
Je, hii ndiyo ndege ya mwisho ya kivita kuendeshwa na binadamu Uingereza?
Mbali na kuwa na kasi kubwa na uwezo wa kujificha dhidi ya rada za adui, Tempest itakuwa na vihisi vya kisasa itakayosaidia rubani kufanya maamuzi katika mazingira yenye shinikizo kubwa.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Kwa nini mkutano wa Trump, Putin na Xi umeibua wasiwasi Ulaya?
Mkutano kati ya Putin, Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa China Xi Jinping umepangwa kufanyika Novemba 18-19, wakati viongozi hao watatu watakapokuwa mjini Shenzhen kwa mkutano wa Ushirikiano wa kiuchumi wa Asia na Pasifiki (APEC).
"Mtoto wangu hakunitambua" - Simulizi ya Alice Chesoli baada ya kulipukiwa na gesi
Alikuwa amerejea nyumbani kutoka kazini pamoja na mume wake kama kawaida. Wakiwa wamechoka baada ya siku ndefu ya kazi, walijipanga kumhudumia mtoto wao mdogo kabla ya kupumzika.
Kinyesi chako kinavyoweza kukuokoa na kifo
Kwa sasa, upandikizaji wa kinyesi umeidhinishwa kutumika kutibu maambukizi yanayojirudia ya Clostridioides difficile.
Ulaya yaamua: Wahamiaji wanaofukuzwa kwa nchi hizi 5 kupelekwa Rwanda
Ujerumani, Denmark, Austria, Ugiriki na Uholanzi zimetangaza mpango wa kuanzisha kituo cha kuwapokea na kuwahamishia wahamiaji ambao maombi yao ya hifadhi yamekataliwa.
2026 yatikisa Dunia: Washuhudia Joto kali zaidi kuwahi kurekodiwa
Onyo hilo linatolewa wakati viongozi wa dunia na wajadiliani wamekuwa wakikutana nchini Uturuki tangu Jumatatu kwa ufunguzi wa COP31, mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi.
Maswali matano ya kisheria kuhusu rufaa ya Lissu
Wakati wanasheria wakiendelea kutoa tafsiri tofauti kuhusu kifungo cha miaka 4 alichopewa Lissu , maswali matano ya kisheria yanaibuka katika mjadala kuhusu rufaa yake.
Kwa nini watu wanapogombana huwatukana mama na dada za wenzao?
Utafiti uliochapishwa 2024 ulionyesha kuwa matusi yanayotumiwa sana katika lugha mbalimbali yanahusiana na viungo vya uzazi vya wanawake na vitendo vya kufanya nao ngono.
Kesi mpya zamsubiri Lissu siku chache baada ya hukumu ya miaka minne jela
Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Novemba 19 kujibu mashtaka matatu ya madai ya kuchapisha taarifa za uongo kupitia YouTube.
Edda Sanga: "Baada ya kupokea cheti kutoka kwa Baba Mtakatifu, niko tayari kuondoka duniani"
Akiwa na umri wa miaka 79, Edda Sanga aliyetoa mchango mkubwa katika historia ya uandishi wa habari Tanzania anajivunia kupokea cheti cha pongezi 2024 kutoka Vatican kwa aliyekuwa kiongozi wa kanisa katoliki Papa Francis.
Lissu aanza mchakato wa kukata rufaa kupinga hukumu ya miaka 4 jela
Mmoja wa mawakili wanaomtetea Lissu, Paul Kisabo, amesema tayari wamewasilisha taarifa ya nia ya kukata rufaa, hatua ya awali kabla ya kuwasilisha rasmi rufaa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania.
Kwa nini Nvidia haikuweza kumfukuza kazi Jensen Huang?
Tangazo lake lisilotarajiwa la kurejea kazini kwa mtengenezaji wa chip lilisababisha ongezeko la thamani ya soko la Nvidia kwa dola trilioni 1 kwenye soko la hisa.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia 25 Novemba 2026, 18:29, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC 25 Novemba 2026, 06:59, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC 25 Novemba 2026, 05:59, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia 24 Novemba 2026, 18:29, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































