Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
"Nikija kusema aitwe Samia si itachukua miaka mitano?" - Lissu
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, inaendelea leo Ijumaa, Agosti 14, 2026, katika Mahakama Kuu Masijala Ndogo Dar es Salaam, upande wa Mashataka ukitaka ihairishwe mpaka Jumatatu
Je, Elon Musk na Jeff Bezos hufadhili vipi mashindano yao ya kwenda anga za juu?
Zaidi ya miongo miwili iliyopita, mabilionea wawili tajiri zaidi duniani walianza kutimiza ndoto yao ya kupeleka watu angani kupitia safari za kibiashara za kibinafsi.
Marekani yasema inaweza kuendelea na zuio la majini dhidi ya Iran bila ukomo
Kauli hiyo inakuja wakati mazungumzo ya kusitisha vita yakikwama, huku usafirishaji wa mafuta duniani ukiathiriwa na mzozo unaoendelea katika eneo la Mlango wa Hormuz.
The Polygamist: Filamu ya Netflix iliyotokana na riwaya ilivyowatikisa wanawake walio kwenye ndoa Afrika
Mwandishi wa riwaya wa Zimbabwe, Sue Nyathi, alijigharamia uchapishaji wa riwaya yake ya kwanza, The Polygamist.
Banderol: Lifahamu kombora jipya la Urusi lenye muundo wa droni
Matumizi ya silaha hii mpya ya Urusi yaliripotiwa kwa mara ya kwanza mwezi Aprili na mtaalamu wa Ukraine, wa mifumo ya vita vya kielektroniki na mawasiliano, Serhiy Beskrestnov.
Trump akitumia lori, ndege ya mtego ilivyomlinda Clinton dhidi ya tishio angani
Wakati Donald Trump alipoondoka kwenye mkutano wa kilele wa NATO mjini Ankara, Uturuki, chini ya hatua kali za kipekee za kiusalama, operesheni hiyo ilionyesha ni kwa kiwango gani Marekani inaweza kwenda ili kumlinda rais anayekabiliwa na tishio kubwa
Kwa nini kufikiria kifo chako kunaweza kuwa na faida?
Ni 11% pekee ya watu wanaofikiria kuhusu kifo katika maisha yao ya kila siku. Wengi wetu tumejikita zaidi katika mambo ya maisha, kiasi kwamba huenda tukafikiria kuhusu kifo mara tatu au nne tu kwa mwaka.
Roboti zinaweza kuwa wanajeshi wa vita vijavyo?
Hawana hofu, hawachoki na hawahitaji kuwa na binadamu pembeni yao. Roboti hawa wanaingia vitani na kubadilisha namna mapigano yanavyofanyika.
Tetesi za Soka Ulaya: Man City yakataa ofa mpya ya Barcelona kwa Rodri
Ofa mpya ya Barcelona kwa Rodri yakataliwa, Djed Spence wa Tottenham yuko karibu kujiunga na Inter Milan, huku Arsenal ikikataliwa katika jitihada zake za kumsajili Marc Pubill, pamoja na tetesi nyingine.
Kwa nini kupatwa kwa jua ulikuwa na umuhimu mkubwa?
Kupatwa kwa Jua hutokea wakati Mwezi unapopita kati ya Dunia na Jua, na hivyo kuzuia baadhi au mwanga wote wa Jua usitufikie.
Wadudu ambao ni tunu ya maarifa iliyofichwa katika ulimwengu wa asili
Kuanzia mende hadi nzi, kuna mengi tunayoweza kujifunza kutokana na mienendo yao kuhusu jinsi ya kufanya maamuzi bora.
Dunia yashuhudia kupatwa kwa Jua
Mamilioni duniani washuhudia kupatwa kabisa kwa Jua! Lakini tukio kubwa lijalo kwa Afrika ni Agosti 2, 2027. Ni nchi zipi zitakuwa kwenye njia ya kupatwa kabisa?
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Iran: Hakuna hatua iliyopigwa kufufua makubaliano ya muda ya amani na Marekani
Chanzo hicho kimesema hakuna hatua iliyofikiwa katika mazungumzo ya kufufua makubaliano ya muda ya mwezi Juni.
Masharti 6 ambayo Iran inatoa kwa Trump ili kufungua Mlango bahari wa Hormuz
Iran na Oman zasema mazungumzo kuhusu kufunguliwa kwa Mlango wa Hormuz yanaendelea vyema, lakini sasa Tehran imeiwasilisha Marekani orodha ya masharti.
Tishio la Iran lashinikiza Trump kufichwa katika lori la chakula
Vyombo vya habari vya Marekani vinaripoti kuwa Donald Trump alibadilisha ndege kwa siri wakati akiondoka kwenye mkutano wa kilele wa NATO nchini Uturuki mwezi uliopita, kutokana na tishio linalowezekana kutoka Iran
Makombora ya Iran ya Kurushwa Begani: Ni tishio kiasi gani?
Reuters iliripoti, ikinukuu vyanzo visivyotajwa majina, kwamba Iran imetia saini mkataba wa thamani ya dola milioni 60-70 kwa ajili ya kununua mifumo 300-400 ya ulinzi wa anga inayoweza kubebeka na mtu mmoja.
Sekta 7 zinazotarajiwa kuzalisha ajira nyingi zaidi ifikapo 2030
Kwa mujibu wa ripoti ya Future of Jobs 2025 iliyochapishwa na World Economic Forum (WEF) mwezi Januari 2025, dunia inatarajiwa kuunda ajira mpya milioni 170 kati ya mwaka 2025 na 2030.
Viumbe 10 vyenye sura mbaya zaidi duniani
Watu wengi huvutiwa na wanyama wenye sura kama za watoto - fikiria macho makubwa, pua ndogo, nyuso za mviringo. Ni kwa sababu tunawajali watoto wetu.
Je, Tanzania inaweza kufikia maridhiano ya kisiasa bila CHADEMA na Lissu?
Historia ya Tanzania inaonesha baadhi ya hatua kubwa za maridhiano ya kisiasa zilihitaji serikali na vyama vikuu vya upinzani kukaa meza moja.
Vitu 7 vyenye thamani kubwa zaidi kuwahi kupatikana duniani
Linapokuja suala la vitu adimu na vyenye thamani kubwa zaidi, unaweza kushangazwa na bei wanazofikia baadhi ya vitu hivi.
Jumuiya ya Madola yapendekeza kesi ya Tundu Lissu 'imalizwe' ndani ya siku 30
Jumuiya ya madola imeitaka serikali ya Tanzania kutafuta ufumbuzi wa kisiasa na kisheria kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani nchni humo Tundu Lissu
Je, dunia kupoteza nguvu yake ya mvuto kwa sekunde saba?
Je, una mipango gani kwa ajili ya tarehe 12 Agosti, 2026? Ikiwa machapisho fulani ya mitandao ya kijamii yanaaminika, huenda ukahitaji kushikilia kitu kizito ili kuzuia siku yako kuharibika
Barabara 10 hatari zaidi duniani 2026
Funga mkanda na ujiandae kwa safari ya kutisha tunaposafiri katika baadhi ya barabara hatari zaidi duniani.
Kwa nini Kenya inapaswa kuwa na wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahuni?
Mwaka wa 2026 umeshuhudia visa vya kutisha vya uhuni ambavyo mpaka leo ni wachache ambao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani kukabiliwa na mashtaka.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani