BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Xi, Putin na Trump wakutana huku viongozi wa China na Urusi wakikosoa sera za Marekani
Rais wa China Xi Jinping hii leo ameahidi kupinga sera za “ulinzi wa biashara”, huku Rais wa Urusi Vladimir Putin, akikosoa vikwazo vya mataifa ya Magharibi muda mfupi kabla ya kukutana na Trump.
Je, kuvaa hijabu au kofia ya kujikinga kunaweza kusababisha nywele kupukutika?
Kwa mujibu wa Shirika la Afya la Uingereza, NHS, ni kawaida kwa mtu kupoteza nywele kati ya 50 na 100 kwa siku. Hata hivyo, iwapo utagundua kuwa nywele zinapukutika kwa wingi kuliko kawaida, unashauriwa kumwona daktari bingwa mapema.
Bahari za barafu na mashimo ya ajabu: Fahamu siri ya viumbe wa angani
Wanasayansi walikuwa wakitafuta sayari zenye ardhi na maji, zilizoko umbali unaofaa kutoka kwa nyota zake kiasi cha kuwa na joto linaloruhusu maisha kama tunavyoyafahamu duniani.
Kwa nini mkutano wa Trump, Putin na Xi umeibua wasiwasi Ulaya?
Mkutano kati ya Putin, Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa China Xi Jinping umepangwa kufanyika Novemba 18-19, wakati viongozi hao watatu watakapokuwa mjini Shenzhen kwa mkutano wa Ushirikiano wa kiuchumi wa Asia na Pasifiki (APEC).
"Mtoto wangu hakunitambua" - Simulizi ya Alice Chesoli baada ya kulipukiwa na gesi
Alikuwa amerejea nyumbani kutoka kazini pamoja na mume wake kama kawaida. Wakiwa wamechoka baada ya siku ndefu ya kazi, walijipanga kumhudumia mtoto wao mdogo kabla ya kupumzika.
Iran inajengaje upya uwezo wake wa kijeshi huku vita vikiendelea?
Kwa mujibu wa tathmini ya mchambuzi Michael Eisenstadt, Iran inakwepa mashambulizi ya moja kwa moja na badala yake kutumia makundi washirika nchini Yemen na Iraq kupanua mzozo.
Mtandao wa siri wa Shirika la Ujasusi la Marekani (NSA) wakumbwa na hitilafu ya muda
Taarifa zinasema hitilafu hiyo iliathiri mtandao wa NSANet, ambao maafisa wa shirika hilo hutumia kutuma na kupokea taarifa za siri za kiwango cha juu.
Ulaya yaamua: Wahamiaji wanaofukuzwa kwa nchi hizi 5 kupelekwa Rwanda
Ujerumani, Denmark, Austria, Ugiriki na Uholanzi zimetangaza mpango wa kuanzisha kituo cha kuwapokea na kuwahamishia wahamiaji ambao maombi yao ya hifadhi yamekataliwa.
Mvutano kati ya Trump na Iran Unamnufaisha nani?
Iwapo Marekani haioni umuhimu wa kufikia makubaliano na Iran nayo Iran inaendelea kupinga masharti ya Washington, hali hii inaweza kudumu kwa muda gani? Je, hali ya "bila vita, hakuna makubaliano" inaweza kuwa ya kudumu?
Tembo 'wanajitibu' kwa dawa za mitishamba - Utafiti wagundua
Tembo wa Afrika wanaweza kutumia aina kadhaa za mimea ya dawa kujitibu wanapougua, huku tembo majike wakiripotiwa kuwapa watoto wao baadhi ya mimea hiyo.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Kesi mpya zamsubiri Lissu siku chache baada ya hukumu ya miaka minne jela
Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Novemba 19 kujibu mashtaka matatu ya madai ya kuchapisha taarifa za uongo kupitia YouTube.
Edda Sanga: "Baada ya kupokea cheti kutoka kwa Baba Mtakatifu, niko tayari kuondoka duniani"
Akiwa na umri wa miaka 79, Edda Sanga aliyetoa mchango mkubwa katika historia ya uandishi wa habari Tanzania anajivunia kupokea cheti cha pongezi 2024 kutoka Vatican kwa aliyekuwa kiongozi wa kanisa katoliki Papa Francis.
Lissu aanza mchakato wa kukata rufaa kupinga hukumu ya miaka 4 jela
Mmoja wa mawakili wanaomtetea Lissu, Paul Kisabo, amesema tayari wamewasilisha taarifa ya nia ya kukata rufaa, hatua ya awali kabla ya kuwasilisha rasmi rufaa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania.
Tundu Lissu: Safari ya Siku 577 kutoka kukamatwa hadi siku ya uamuzi
Tundu Lissu amepitia nini katika kipindi hicho? Kuanzia kukamatwa, mashtaka, mgomo wa kula hadi safari ya kisheria iliyovuta hisia za wengi. Makala hii inakumbusha matukio muhimu katika siku hizo za kesi ya Tundu Lissu.
Lissu akosoa hukumu asema ni ya kisiasa
Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha CHADEMA nchini Tanzania Tundu Lissu, amekuwa akikabiliwa na kesi hiyo tangu Oktoba mwaka 2025, akituhumiwa kuchochea uasi na kudhoofisha mamlaka ya serikali.
Canada yaja na mpango mpya wa kupokea wahamiaji 5,500: Watanzania, Wakenya kunufaika?
Canada imezindua mpango mpya wa uhamiaji unaolenga kuwapa watu 5,500 kutoka nchi mbalimbali duniani nafasi ya kupata ukaazi wa kudumu utakaoanza Januari, 2027
Maisha na safari ya kisiasa ya Tundu Lissu
Mwanasheria huyo amejijengea nafasi ya kipekee katika siasa za upinzani Tanzania, akifahamika kwa kauli zake kali, hoja za kisheria na msimamo wake kuhusu masuala ya utawala na haki.
Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu: Tulifikaje hapa?
Tunaangazia matukio muhimu kuelekea kukamatwa kwa Tundu Lissu na kufikishwa Mahakamani kwa shitaka la uhaini na namna kesi hiyo ilivyofika hatua ya kusubiri hukumu.
CHADEMA yampa Lissu tumaini jipya, yatangaza mpango wa rufaa na dhamana
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Dk. Rugemeleza Nshala, alisema Lissu ameeleza nia ya kupinga hukumu hiyo na kwamba timu ya mawakili inaanza maandalizi ya kuwasilisha rufaa.
Kenya: Paul Mackenzie afungwa miaka 200 jela kwa mauaji ya Shakahola
Mackenzie, mwanzilishi wa kanisa la Good News International Church, amehukumiwa leo Ijumaa pamoja na washitakiwa wengine zaidi ya 20 katika Mahakama Kuu ya Mombasa.
Netanyahu: Siri ya kurejea madarakani licha ya kushindwa mara kwa mara
Netanyahu anakabiliwa na mtihani mpya baada ya uchaguzi wa Israel wa tarehe 27 Oktoba 2026, uliofanyika baada ya miaka ya vita, wasiwasi kuhusu usalama na mijadala kuhusu mustakabali wa kisiasa wa nchi hiyo.
Maeneo 5 nyumbani kwako ambapo majini hupenda kuishi
Kulingana na Sheikh Mansur Sokoto, silaha kuu ya kujikinga dhidi ya majini na maovu yote ya mashetani ni dua na kumkumbuka Mwenyezi Mungu mara kwa mara.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC 19 Novemba 2026, 05:59, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia 18 Novemba 2026, 18:29, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC 18 Novemba 2026, 06:59, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC 18 Novemba 2026, 05:59, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































