BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Marekani yaondoa ndege zake za kivita kutoka kambi ya Fairford Uingereza
Kwa mujibu wa Wall Street Journal, uamuzi wa kuondoa ndege hizo unahusishwa na hofu ya kiusalama katika Kambi ya Anga ya Fairford.
Ichthyosis: 'Watu walinitazama kama mnyama wa kutisha' - Dockuma
Dockuma anaeleza kuwa amekuwa akiishi na ichthyosis maisha yake yote, baada ya ugonjwa huo kugunduliwa alipokuwa mtoto mchanga mara tu baada ya kuzaliwa.
Iran yaanzisha kambi ya kuwafunza wanawake matumizi ya silaha
Maafisa wa Iran wanasema mafunzo hayo yanalenga kuwaandaa wananchi kukabiliana na hali za dharura na kuimarisha uwezo wa jamii kujilinda.
Wafahamu wafanyabiashara wenye utata kama Wicknell Chivayo
Kilichowaunganisha wengi wao ni simulizi ya kuanzia maisha ya kawaida au ya umaskini na baadaye kufikia utajiri mkubwa na ushawishi wa kisiasa au kijamii.
Saini kabla ya kusali: Sheria mpya ya ubadili dini inavyowaathiri waumini India
Sheria mpya ya kuzuia ubadili dini Maharashtra, India inaibua maswali kuhusu imani na uhuru.
Marekani yazitaka Ethiopia na Eritrea kurejea katika mazungumzo ya amani
Viongozi kutoka baadhi ya nchi jirani za Ethiopia wanatarajiwa kukutana nchini Misri baadaye leo, Jumapili.
Mambo 7 muhimu kuhusu kifundo cha mkono kinvyoweza kutabiri ugonjwa wako
Mtindo wa maisha wa kisasa unaathiri vibaya viungo vya mikono yetu. Sote tunahitaji kuchukua hatua ili kuzuia hili. Kujijali tukiwa bado vijana kunaweza kusaidia
Rubani msaidizi alimshambulia rubani mkuu kwa shoka, UAE yasema
Marubani wawili waliokuwa safarini kama akiba baadaye waliweza kuitua ndege hiyo salama nchini Saudi Arabia.
'Nilivutwa kwenye mtego': Mwanahabari asimulia kukamatwa Urusi
Mwanahabari wa Marekani Evan Gershkovich ameeleza kwa undani jinsi alivyobaini kuwa alikuwa amewekewa mtego na Urusi kabla ya kukamatwa na maafisa wa FSB na kufungwa kwa miezi 16.
'Utekelezaji wa hukumu ya kifo ya Christa Pike uliotibuka: Nini nilitokea na nini kinafuata?"
Muuaji huyo aliyepatikana na hatia amelazwa hospitalini Tennessee baada ya kunusurika sindano mbili za sumu, katika kesi iliyoibua maswali mengi.
Paka mweusi wa ajabu anayepatikana Afrika pekee
Paka wa porini 'Serval' wamekuwa wakionekana katika maeneo ya mwinuko mkubwa, kama vile Nyanda za Juu za Aberdare nchini Kenya, ambako hali ya hewa ya baridi na yenye ukungu inaonekana kuendana zaidi na manyoya yao meusi.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Mambo 5 muhimu kuhusu mradi wa kiwanda cha mafuta cha Dangote nchini Kenya
Mradi huo unatajwa kuwa miongoni mwa miradi mikubwa zaidi ya miundombinu kuwahi kutekelezwa nchini Kenya tangu ilipopata uhuru.
Miji bora zaidi duniani mwaka 2026 na siri za mafanikio yake
Ni nini kinachoufanya mji uwe wa kuvutia kiasi cha watu kutaka kuishi humo, kufanya kazi au hata kuutembelea?
Edward Rukidi Kijanangoma: Kutoka uwanahabari hadi ufalme wa Tooro Uganda
Mwanahabari Kijanangoma anapanda kwenye kiti cha ufalme wa Tooro huku mzozo wa kumrithi marehemu Mfalme Oyo ukiendelea.
Ajali 6 mbaya zaidi za majini zilizotikisa dunia
Kuzama kwa Le Joola nchini Senegal mwaka 2002 kulisababisha vifo vya watu 1,800. Hata hivyo, duniani kumewahi kutokea majanga mengine ya majini yaliyosababisha vifo vya maelfu na kuacha alama kubwa katika historia.
Hukumu ya kesi ya Lissu kutolewa tarehe sita Novemba
Mahakama imesema itahitaji muda wa kutosha ili iweze kutoa maamuzi sababu hili ni shauri la namna yake.
Harvard yafichua siri rahisi ya kuishi maisha marefu
Utafiti mkubwa wa Harvard unaonyesha kwamba, kuwa na mahusiano mazuri na watu kunaweza kusaidia kuongeza miaka ya kuishi ukiwa na afya njema. Badala ya kuwa na watu wengi, mahusiano machache lakini yenye kina, pamoja na kushiriki shughuli za kijamii, yanaweza kuwa na mchango mkubwa katika afya ya mwili na akili.
Mabilionea duniani wanavyopambana kuishi milele
Matajiri wakubwa wanaendelea kutumia mamilioni ya dola kutafuta njia ya kuishi milele kwa nini basi mafanikio halisi ya kisayansi hayapati ufadhili?
Kwa nini mtu tajiri zaidi Afrika anataka kuuza sehemu ya himaya yake?
Mfanyabiashara bilionea Aliko Dangote ameanzisha mauzo makubwa zaidi ya awali ya hisa kuwahi kufanyika barani Afrika, baada ya kampuni yake ya kusafisha mafuta kuorodheshwa katika Soko la Hisa la Nigeria.
Kwa nini mahasimu wa zamani Ethiopia sasa wameungana?
“Jambo hili limeathiri vibaya kisaikolojia mji wetu, na watu wetu wako katika hali ya hofu,” amesema Meya wa mji huo, Mogos Shiferaw.
Akili mnemba na nyakati za mwisho: Kwa nini baadhi ya watu wanaamini teknolojia hii ni Mpinga Kristo?
Baadhi ya Wakristo wanaamini akili mnemba inaweza kuhusishwa na matukio ya nyakati za mwisho. Huu hapa ni ufafanuzi zaidi kuhusu kwa nini teknolojia hiyo inahusishwa na Mpinga Kristo.
Mama Fatma Karume: Mwanamke aliyeipika Zanzibar jikoni na kibarazani
Mama Fatma Karume, mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume, amefariki dunia Jumatatu, Septemba 21, 2026, akiwa na umri wa miaka 97.
Je, TikTok na Reels zinaharibu umakini na kumbukumbu za vijana?
Utafiti unaonyesha kuna uhusiano kati ya matumizi makubwa ya video fupi na matatizo ya umakini, kumbukumbu na kujidhibiti miongoni mwa vijana, ingawa bado hakuna ushahidi wa moja kwa moja kwamba video hizo husababisha uharibifu wa kumbukumbu.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Dira Ya Dunia, 18:29, 5 Oktoba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Listen Live, Amka Na BBC, 06:59, 5 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 5 Oktoba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 2 Oktoba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































