Mbwa Mwitu waliopakwa rangi Zimbabwe

Iliyochapishwa

Mbwa mwitu hawa wenye muonekano wa kupendeza wanaitwa mbwa mwitu waliopakwa rangi.

African wild dogs
  • Je ni mbwa kama mbwa wengine?
African wild dogs
Presentational grey line

'Lycaon pictus' ni jina lao la kisayansi, ambalo linamaanisha kitu kama "rangi ya mbwa mwitu".

Wana sauti yenye kupendeza inaweza kusafiri hadi kilomita 2 na wana masikio yao makubwa yaliosimama.

African wild dogs

Wana sifa ya kuwa wawindaji wenye ufanisi zaidi barani Afrika kwa asilimia 80 na wanaweza kuwa kiwango cha juu zaidi kuliko ya simba au chui.

African wild dogs
African wild dogs
African wild dogs