Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Marekani iko tayari kuishambulia Iran wakati wowote - Trump
Mpango wa kuishinda Iran hautachukua muda mrefu - Trump
Muhtasari
- Urusi yakataa wito wa Marekani wa 'kujitenga' na Iran
- Umoja wa Mataifa waelezea wasiwasi kuhusu shambulio lililoua waliohudhuria harusi nchini Iran
- Nchi za G20 zitalazimika kuanzisha vituo vya AI
- Mpango wetu wa kuikandamiza Iran hautachukua muda mrefu – Trump
- Watu 18 wauawa katika shambulio la makombora la Marekani dhidi ya Iran
- Marekani yakataa tuhuma za kuiba mafuta ya Venezuela
- Uber yafunga shughuli zake nchini Uganda na Nigeria mara moja
- Umoja wa Mataifa waonya kuhusu El Niño 'kubwa zaidi' huku nchi zikijiandaa kwa athari
- Trump: Kampeni mpya ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran haitadumu kwa muda mrefu
- IG wa Kenya akanusha kuhusika kwa polisi katika utekaji nyara wa mhariri wa kampuni ya Standard
- Ruto aagiza msako dhidi ya wachuuzi wa kigeni ili kuwalinda wafanyabiashara wa ndani
- Iran yashambulia kambi za kijeshi za Marekani Kuwait
- Trump aweka sura yake katika sarafu ya dola 1 ya Marekani
- Shambulio la Iran dhidi ya meli ya mafuta ya Saudia laua mabaharia wawili wa Ufilipino - Saudia
- EU na Nato zaionya Urusi baada ya taifa hilo 'kuanzisha' mgogoro mpya dhidi ya Ujerumani
Moja kwa moja
Abdalla Seif Dzungu, Faidha Ngaga & Mariam Mjahid