Kwa Picha: Treni yenye starehe na ghali yaundwa Japan

Iliyochapishwa

Treni ya Suite Shiki-shima imeundwa kuwapa abiria starehe lakini utahitaji kulipia gharama ya kati ya dola 2,860 na 10,000 na unaweza kuchagua kati ya safari ya siku mbili au nne.

Treni ya Suite Shiki-shima imeundwa kuwapa abiria starehe lakini utahitaji kulipia gharama ya kati ya dola 2,860 na 10,000
Maelezo ya picha, Treni ya Suite Shiki-shima imeundwa kuwapa abiria starehe lakini utahitaji kulipia gharama ya kati ya dola 2,860 na 10,000

Treni ya Shiki-shima ilifanya safari yake ya kwanza tarehe mosi Mei. Ilijengwa kulingana na mipango na michoro ya Ken Kiyoyuki Okuyama

Treni ya Shiki-shima ilifanya safari yake ya kwanza tarehe mosi Mei
Maelezo ya picha, Treni ya Shiki-shima ilifanya safari yake ya kwanza tarehe mosi Mei

Mandhari ya treni hiyo hukuwezesha kutulia huku ukifuhia glasi ya mvinyo

Mandhari ya treni hiyo hukuwezesha kutulia huku ukifuhia glasi ya mvinyo
Maelezo ya picha, Mandhari ya treni hiyo hukuwezesha kutulia huku ukifuhia glasi ya mvinyo

Treni hii ina nafasi kwa abiria 34 kwa hivyo ina nafasi ya kutosha abiria kuweza kuona vizuri

Treni hii ina nafasi kwa abiria 34 kwa hivyo ina nafasi ya kutosha abiria kuweza kuona vizuri
Maelezo ya picha, Treni hii ina nafasi kwa abiria 34 kwa hivyo ina nafasi ya kutosha abiria kuweza kuona vizuri

Hapa ndipo inaweza kulala baada ya safari ndefu

Hapa ndipo inaweza kulala baada ya safari ndefu
Maelezo ya picha, Hapa ndipo inaweza kulala baada ya safari ndefu

Mipango ya treni hiyo ilitangazwa na kampuni ya East Japan Railway Company mwaka 2014.

Mipango ya treni hiyo ilitangazwa na kampuni ya East Japan Railway Company mwaka 2014.
Maelezo ya picha, Mipango ya treni hiyo ilitangazwa na kampuni ya East Japan Railway Company mwaka 2014.

Chakula kitakuwa kikibakuliwa sehemu kama hii

Chakula kitakuwa kikibakuliwa sehemu kama hii
Maelezo ya picha, Chakula kitakuwa kikibakuliwa sehemu kama hii

Kila kitu kitakuwa sawa na cha hoteli yoyote ya kifahari

Kila kitu kitakuwa sawa na cha hoteli yoyote ya kifahari
Maelezo ya picha, Kila kitu kitakuwa sawa na cha hoteli yoyote ya kifahari

Unaweza pia kukaa karibu na moto

Unaweza pia kukaa karibu na moto
Maelezo ya picha, Unaweza pia kukaa karibu na moto