Kwa picha: Tuzo za Oscars 2017

Baada ya nyota kuwasili katika Ukumbi wa Dolby mjini Los Angeles Tuzo hizo zilianza.
Maelezo ya picha, Baada ya nyota kuwasili katika Ukumbi wa Dolby mjini Los Angeles Tuzo hizo zilianza.
Iliyochapishwa
Justin Timberlake
Maelezo ya picha, Justin Timberlake alianza hafla hiyo kwa kuwatumbuiza waliohudhuria kwa wimbo wake wa ulioteuliwa katika tuzo hizo Can't Stop The Feeling.
Host Jimmy Kimmel
Maelezo ya picha, Mwandalizi wa tuzo hizo Jimmy Kimmel alifanya mzaha aliposema kuwa tuzo hizo zinatazamwa na mataifa yanayochukia Marekani
MUigizaji wa Marekani Mahershala Ali
Maelezo ya picha, Mahershala Ali wa filamu ya Moonlight alishinda tuzo ya muigizaji msaidizi bora
Mwanahesabati wa Nasa Katherine Johnson (wa pili kushoto anaonekana katika ukumbi na waigizaji Janelle Monae, Taraji P. Henson na Octavia Spencer
Maelezo ya picha, Mwanahesabati wa Nasa Katherine Johnson (wa pili kushoto anaonekana katika ukumbi na waigizaji Janelle Monae, Taraji P. Henson na Octavia Spencer
Alessandro Bertolazzi, Giorgio Gregorini na Christopher Nelson
Maelezo ya picha, Alessandro Bertolazzi, Giorgio Gregorini na Christopher Nelson walikubali tuzo za oscars kwa tuzo ya upambaji kwa filamu ya Suicide Squad.
Colleen Atwood
Maelezo ya picha, Colleen Atwood alishinda tuzo yake ya nne ya Oscar kwa filamu Fantastic Beasts and Where to Find Them, baada ya kushinda 2011 kwa filamu ya Alice in Wonderland, na 2006 kwa Memoirs of a Geisha huku 2003 akishinda filamu ya Chicago.
Muigizaji Meryl Streep
Maelezo ya picha, Muigizaji Meryl Streep
Na wakati waliohudhuria walipotaka kula, peremende zilianguka kutoka kwa paa la ukumbi huo
Maelezo ya picha, Na wakati waliohudhuria walipotaka kula, peremende zilianguka kutoka kwa paa la ukumbi huo
Mzalishaji Caroline Waterlow na mkurugenzi Ezra Edelman wa OJ: Made in America wakichukua tuzo zao kwa makala bora
Maelezo ya picha, Mzalishaji Caroline Waterlow na mkurugenzi Ezra Edelman wa OJ: Made in America wakichukua tuzo zao kwa makala bora
Mchanganyaji wa sauti Kevin O'Connell akikubali tuzo aliyoshinda kwa Hacksaw Ridge
Maelezo ya picha, Mchanganyaji wa sauti Kevin O'Connell akikubali tuzo aliyoshinda kwa Hacksaw Ridge
Viola Davis alishinda tuzo ya muigizaji msaidizi kwa kucheza nafasi ya Rose kwa mchezo wa kuigiza Fences.
Maelezo ya picha, Viola Davis alishinda tuzo ya muigizaji msaidizi kwa kucheza nafasi ya Rose kwa mchezo wa kuigiza Fences.
Muigizaji Denzel washington akiwafungisha ndoa watalii wawili katika ukumbi huo wa Oscar
Maelezo ya picha, Muigizaji Denzel washington akiwafungisha ndoa watalii wawili katika ukumbi huo wa Oscar
Kimmel akimbeba muigizaji Sunny Pawar, kutoka Lion, wakati muziki kutoka kwa king ulipochezwa na kumfurahisha nyota mwenza Dev Patel.
Maelezo ya picha, Kimmel akimbeba muigizaji Sunny Pawar, kutoka Lion, wakati muziki kutoka kwa king ulipochezwa na kumfurahisha nyota mwenza Dev Patel.
Muigizaji Hailee Steinfeld, wakurugenzi mwenza Byron Howard na Rich Moore pamoja na mzalishaji Clark Spencer,
Maelezo ya picha, Muigizaji Hailee Steinfeld, wakurugenzi mwenza Byron Howard na Rich Moore pamoja na mzalishaji Clark Spencer,
Seth Rogen (left) na Michael J. Fox wanatoka katika gari lao
Maelezo ya picha, Seth Rogen (left) na Michael J. Fox wanatoka katika gari lao
Mwandalizi wa Uingereza Joanna Natasegara na Mkurugenzi wa Uingereza r Orlando von Einsiedel wakisimama mbee ya ukumbi baada ya kushinda makala bora ya The White Helmets
Maelezo ya picha, Mwandalizi wa Uingereza Joanna Natasegara na Mkurugenzi wa Uingereza r Orlando von Einsiedel wakisimama mbee ya ukumbi baada ya kushinda makala bora ya The White Helmets
Waigizaji Ryan Gosling na Emma Stone
Maelezo ya picha, Waigizaji Ryan Gosling na Emma Stone
Msanii John Legend akiwatumbuiza waliohudhuria katika tuzo za Oscars
Maelezo ya picha, Msanii John Legend akiwatumbuiza waliohudhuria katika tuzo za Oscars
Muigizaji Salma Salma Hayek na mwandalizi Joanna Natasegara
Maelezo ya picha, Muigizaji Salma Salma Hayek na mwandalizi Joanna Natasegara
Amy Adams akimpatia tuzo ya Best Adapted Screenplay kwa Tarell Alvin McCraney na Barry Jenkins
Maelezo ya picha, Amy Adams akimpatia tuzo ya Best Adapted Screenplay kwa Tarell Alvin McCraney na Barry Jenkins
Casey Affleck ashtuka baadya kupewa tuzo muigizaji bora wa kiume
Maelezo ya picha, Casey Affleck ashtuka baadya kupewa tuzo muigizaji bora wa kiume
La La Land ilishinda tuzo nyengine , mara hii ikiwa ni Emma Stone kwa kuwa muigizaji bora wa kike.
Maelezo ya picha, La La Land ilishinda tuzo nyengine , mara hii ikiwa ni Emma Stone kwa kuwa muigizaji bora wa kike.
Tuzo ya filamu bora ilikabidhiwa La La Land lakini bahasha iliopewa Warren Beaty aliyekuwa akitoa tuzo hiyo ilikuwa na makosa
Maelezo ya picha, Tuzo ya filamu bora ilikabidhiwa La La Land lakini bahasha iliopewa Warren Beaty aliyekuwa akitoa tuzo hiyo ilikuwa na makosa
Kulikuwa na kelele kwa muda pale Jordan Horowitz wa La La Land aliposema kuwa tuzo hiyo ingepewa Moonlight
Maelezo ya picha, Kulikuwa na kelele kwa muda pale Jordan Horowitz wa La La Land aliposema kuwa tuzo hiyo ingepewa Moonlight
Hali ya kawaida ilirejea baada ya waigizaji wa filamu ya Moonlight kufika mbele ya jukwaa ili kukubali tuzo ya filamu bora
Maelezo ya picha, Hali ya kawaida ilirejea baada ya waigizaji wa filamu ya Moonlight kufika mbele ya jukwaa ili kukubali tuzo ya filamu bora
Picha ya mwisho inayomuonesha muigizaji musaidi bora Mahershala Ali, Muigizaji bora wa kike Emma Stone, MUigizaji msaidizi bora wa kike Viola Davis na muigizaji bora wa kiume Casey Affleck wakishika tuzo walizoshinda
Maelezo ya picha, Picha ya mwisho inayomuonesha muigizaji musaidi bora Mahershala Ali, Muigizaji bora wa kike Emma Stone, MUigizaji msaidizi bora wa kike Viola Davis na muigizaji bora wa kiume Casey Affleck wakishika tuzo walizoshinda

All photographs subject to copyright.