BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Trump atishia kutangaza Mlango Bahari wa Hormuz kuwa eneo la Marekani
Rais wa Marekani Donald Trump, amesema hivi karibuni atatangaza Mlango Bahari wa Hormuz kuwa sehemu ya eneo la Marekani, akidai kuwa Iran imeathirika vibaya na vita vilivyotokea eneo hilo.
Jinsi chapisho moja la mitandao ya kijamii lilivyochochea taarifa potofu dhidi ya wahamiaji nchini Libya
Uchambuzi wa BBC umebaini kuwa chapisho moja tu kwenye mitandao ya kijamii lilisababisha wimbi la taarifa potofu dhidi ya wahamiaji na mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini Libya mwezi Juni.
Kuna uwezekano gani wa AI kuleta madhara kwa binadamu?
Kwa sasa, uwezekano wa AI kusababisha madhara makubwa unakadiriwa kuwa takriban asilimia 10.
Matatizo ya kifedha ya muda mrefu yanaweza kuathiri ubongo - Utafiti
"Tulibaini uhusiano wa kisababishi kati ya shinikizo la kifedha na afya ya ubongo. Viashiria kama kasi ya kusoma, uwezo wa kufanya mahesabu na picha za ubongo vinaonyesha kuwa matatizo ya fedha ya muda mrefu unaweza kuacha athari za kudumu," alisema mmoja wa waandishi wa utafiti huo, Jacques Wels.
Tetesi za Soka Ulaya: Arsenal iko mstari wa mbele kumfukuzia Hinshelwood
Arsenal wako mstari wa mbele kumsajili Jack Hinshelwood, Barcelona kuwasilisha ofa ya tatu kwa Rodri, huku Manchester United na Tottenham zikijiunga na Arsenal katika kumwania Victor Osimhen.
Kwa nini Ceuta na Melilla ni sehemu ya Uhispania wakati ziko Afrika?
Katika siku za hivi karibuni, maelfu ya wahamiaji wamevuka mpaka kutoka Morocco na kuingia Ceuta, na kusababisha serikali ya Uhispania kutuma jeshi kudhibiti hali hiyo.
"Nikija kusema aitwe Samia si itachukua miaka mitano?" - Lissu
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, inaendelea leo Ijumaa, Agosti 14, 2026, katika Mahakama Kuu Masijala Ndogo Dar es Salaam, upande wa Mashataka ukitaka ihairishwe mpaka Jumatatu
BBC yaomba mahakama kuwashurutisha wanafamilia wa Trump kutoa ushahidi katika kesi ya Panorama
Mawakili wa Trump wameombwa kutoa maoni kuhusu hatua hiyo ya BBC.
Je, Elon Musk na Jeff Bezos hufadhili vipi mashindano yao ya kwenda anga za juu?
Zaidi ya miongo miwili iliyopita, mabilionea wawili tajiri zaidi duniani walianza kutimiza ndoto yao ya kupeleka watu angani kupitia safari za kibiashara za kibinafsi.
Marekani yasema inaweza kuendelea na zuio la majini dhidi ya Iran bila ukomo
Kauli hiyo inakuja wakati mazungumzo ya kusitisha vita yakikwama, huku usafirishaji wa mafuta duniani ukiathiriwa na mzozo unaoendelea katika eneo la Mlango wa Hormuz.
The Polygamist: Filamu ya Netflix iliyotokana na riwaya ilivyowatikisa wanawake walio kwenye ndoa Afrika
Mwandishi wa riwaya wa Zimbabwe, Sue Nyathi, alijigharamia uchapishaji wa riwaya yake ya kwanza, The Polygamist.
Banderol: Lifahamu kombora jipya la Urusi lenye muundo wa droni
Matumizi ya silaha hii mpya ya Urusi yaliripotiwa kwa mara ya kwanza mwezi Aprili na mtaalamu wa Ukraine, wa mifumo ya vita vya kielektroniki na mawasiliano, Serhiy Beskrestnov.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
Wanasayansi 5 waliookoa maisha ya mamilioni ya watu kupitia uvumbuzi wao
Mwaka wa 1957, Hilleman alitabiri uwezekano wa kutokea kwa janga la mafua na akatengeneza haraka chanjo mpya, hatua iliyosaidia kupunguza ukali wa mlipuko huo.
Je, watu wenye mapaja manene wanaweza kuishi muda mrefu zaidi?
Lakini tafiti zimebaini kuwa mafuta kwenye mapaja na makalio yanaweza hata kuilinda miili yetu, kwa sababu seli za mafuta katika maeneo hayo zina uwezo wa kuzuia asidi za mafuta huru ambazo zinaweza kuwa na madhara mwilini.
WARIDI WA BBC: 'Nina miaka 23 na nywele zangu zinanyonyoka'
Tatizo la kung'oka au kunyoyoka nywele linakadiriwa kuwaathiri watu milioni 160 duniani kote.
Kwa nini Tanzania inawashirikisha majaji wa nje kuchunguza ghasia za Oktoba 29?
Vyama vya upinzani nchini Namibia, na CHADEMA cha Tanzania vimepinga uwepo wa majaji wa nje, kwa mantiki mbalimbali ikiwmeo uhuru wa kimahakama Namibia na hofu ya kutopatikana ukweli kwa Tanzania.
Masharti 6 ambayo Iran inatoa kwa Trump ili kufungua Mlango bahari wa Hormuz
Iran na Oman zasema mazungumzo kuhusu kufunguliwa kwa Mlango wa Hormuz yanaendelea vyema, lakini sasa Tehran imeiwasilisha Marekani orodha ya masharti.
Tishio la Iran lashinikiza Trump kufichwa katika lori la chakula
Vyombo vya habari vya Marekani vinaripoti kuwa Donald Trump alibadilisha ndege kwa siri wakati akiondoka kwenye mkutano wa kilele wa NATO nchini Uturuki mwezi uliopita, kutokana na tishio linalowezekana kutoka Iran
Makombora ya Iran ya Kurushwa Begani: Ni tishio kiasi gani?
Reuters iliripoti, ikinukuu vyanzo visivyotajwa majina, kwamba Iran imetia saini mkataba wa thamani ya dola milioni 60-70 kwa ajili ya kununua mifumo 300-400 ya ulinzi wa anga inayoweza kubebeka na mtu mmoja.
Sekta 7 zinazotarajiwa kuzalisha ajira nyingi zaidi ifikapo 2030
Kwa mujibu wa ripoti ya Future of Jobs 2025 iliyochapishwa na World Economic Forum (WEF) mwezi Januari 2025, dunia inatarajiwa kuunda ajira mpya milioni 170 kati ya mwaka 2025 na 2030.
Viumbe 10 vyenye sura mbaya zaidi duniani
Watu wengi huvutiwa na wanyama wenye sura kama za watoto - fikiria macho makubwa, pua ndogo, nyuso za mviringo. Ni kwa sababu tunawajali watoto wetu.
Je, Tanzania inaweza kufikia maridhiano ya kisiasa bila CHADEMA na Lissu?
Historia ya Tanzania inaonesha baadhi ya hatua kubwa za maridhiano ya kisiasa zilihitaji serikali na vyama vikuu vya upinzani kukaa meza moja.
Vitu 7 vyenye thamani kubwa zaidi kuwahi kupatikana duniani
Linapokuja suala la vitu adimu na vyenye thamani kubwa zaidi, unaweza kushangazwa na bei wanazofikia baadhi ya vitu hivi.
Jumuiya ya Madola yapendekeza kesi ya Tundu Lissu 'imalizwe' ndani ya siku 30
Jumuiya ya madola imeitaka serikali ya Tanzania kutafuta ufumbuzi wa kisiasa na kisheria kumaliza kesi inayomkabili kiongozi wa upinzani nchni humo Tundu Lissu
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 17 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 14 Agosti 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 14 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 14 Agosti 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































