Ivory Coast yatawala!
Ivory Coast wangeweza - na pengine walipaswa - kumaliza mchezo huu baada ya nafasi kadhaa zilizomwangukia Franck Kessie na Christ Inao Oulai mwanzoni mwa kipindi cha pili.
Watalazimika kutumia fursa hizi mapema kabla ya Ujerumani kuimarika







