'Trump bado ni rais wenu,' White House yaandika mtandaoni
Wamarekani wakabili hali mpya ya kisiasa, Trump akiri vita vya Iran vilichangia kushindwa kwa chama chake.
Muhtasari
- 'Trump bado ni rais wenu,' White House yaandika mtandaoni
- Uchaguzi wa Marekani katika picha: Machozi kwa wengine, shangwe kwa wengine
- Khamenei: Msitarajie Marekani kubadili msimamo dhidi ya Iran
- China yaona fursa baada ya pigo kwa Trump
- Viongozi wa dunia waliolengwa na Trump washangilia ushindi wa Democrats
- 'Marekani imeshinda': Democrats washerehekea ushindi mkubwa
- 'Sitaki kutumia miaka miwili nikipinga kila kitu': Trump afungua mlango kwa Democrats
- 'Wamarekani wamekataa vita': Iran yajibu pigo la Republican kwenye uchaguzi wa Marekani
- Obama: Matokeo ya uchaguzi yaonyesha Wamarekani wanataka mabadiliko
- Republican wamlaumu Trump kufuatia kushindwa kwao katika uchaguzi
- Iran yamkejeli Trump baada ya Republican kupata pigo katika uchaguzi wa muhula
- Ilhan Omar ashinda tena kiti cha ubunge Marekani
- Trump akiri vita ya Iran imechangia matokeo ya uchaguzi wa katikati ya muhula
- Trump alaumu wanachama wa Republican na Fox News kwa kushindwa uchaguzi wa muhula
- Tetesi za Soka Jumatano: Man Utd wamfukuzia beki wa Man City Ait-Nouri
- Matokeo ya uchaguzi Marekani: Democrat washinda udhibiti wa Seneti na Bunge la Wawakilishi
- Mkuu wa MONUSCO akutana na Kabila huku juhudi za amani DRC zikiendelea
- 'Sikuwa mgombea'- Trump ajitenga na chama chake cha Republican
- Wamarekani wakipiga kura, Trump asema Marekani itasitisha msaada kwa Israel



















