Trump apiga kura huko Florida huku mamilioni wakimpigia kura rais ajaye wa Marekani
Baada ya kampeni kali ya miezi kadhaa kati ya Kamala Harris na Donald Trump, Marekani itachagua rais wake ajaye.
Muhtasari
- Wauaji wa mwanariadha wa Uganda wahukumiwa kifungo cha miaka 35
- Uchaguzi wa Marekani 2024: Tunachojua kufikia sasa
- Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amfuta kazi waziri wa ulinzi Gallant
- Waziri wa Georgia asema vitisho vya mabomu vilitoka Urusi
- FBI yatoa onyo jingine kuhusu video ghushi za uchaguzi
- 'Acha kuzungumzia hilo': Trump akwepa swali la kura ya utoaji mimba
- Harris awataka Wamarekani 'kutoka na kupiga kura' katika mahojiano ya redio
- Trump apiga kura katika eneo la Palm Springs akiwa na mkewe Melania
- Vitisho vya uwongo vya mabomu vyasababisha wapiga kura kuhama Georgia
- Bangladesh yaimarisha malipo kwa kampuni ya Adani kuzuia kukatwa kwa usambazaji umeme
- Mgomo wa wanyakazi wa Boeing wamalizika
- Kesi ya kukatwa kichwa kwa mwalimu aliyeonyesha katuni ya Mtume Muhammad yaanza kusikilizwa
- Equtoarial Guinea kuwachukulia hatua wafanyakazi wa umma waliofanya mapenzi ofisini
- Elon Musk anaweza kuendelea kutoa $1m kwa wapiga kura, jaji aamua
- Urusi ni 'tishio kubwa zaidi' kwa uchaguzi wa Marekani
- Iran yahimizwa kumwachilia mwanamke aliyevua nguo chuo kikuu
- Trump na Harris wafanya mikutano yao katika majimbo muhimu
- Idadi ya waliopiga kura mapema Marekani yapita milioni 81
